Home LOCAL RAIS MHE. DKT. SAMIA AKUTANA NA MRATIBU WA KIMATAIFA WA MPANGO WA...

RAIS MHE. DKT. SAMIA AKUTANA NA MRATIBU WA KIMATAIFA WA MPANGO WA DHARURA WA RAIS WA MAREKANI IKULU CHAMWINO DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mratibu wa Kimataifa wa Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani katika mwitikio wa kupambana na Ukimwi (PEPFAR) na Mwakilishi Maalum wa Serikali ya Marekani katika masuala ya Diplomasia ya Afya Balozi Dkt. John Nkengasong, pamoja na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Kimataifa la kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) Bw. Peter Sands, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mratibu wa Kimataifa wa Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani katika mwitikio wa kupambana na Ukimwi (PEPFAR) na Mwakilishi Maalum wa Serikali ya Marekani katika masuala ya Diplomasia ya Afya Balozi Dkt. John Nkengasong, Mwakilishi Maalum wa Global Health Diplomacy na Mshauri wa masuala ya Mawasiliano US AIDS Bibi Veronica Davison, Mtendaji Mkuu wa Shirika la Kimataifa la kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) Bw. Peter Sands, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni 2023.

Previous articleEMIRATES GROUP ANNOUNCES 2022-2023 RESULTSĀ 
Next articleSPIKA DKT. TULIA AWASILI NCHINI MOROCCO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here