Home BUSINESS RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA...

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA (TNBC), IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara  (TNBC) akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wafanyabiashara wakati akifungua Mkutano wa 14 wa Baraza hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2023.

Viongozi mbalimbali, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wafanyabiashara wakiwa kwenye mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2023.

Rais za Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa kwenye Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara  (TNBC) akishiriki kwenye Mkutano wa 14 wa Baraza hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2023.

Previous articleMATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA
Next articleSUA YATIA SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA CHUO KIKUU CHA MWALIMU JULIUS NYERERE CHA KILIMO NA TEKNOLOJIA (MJNUAT)
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here