Home LOCAL MSD YAANZA RASMI ZOEZI LA KUHESABU MALI

MSD YAANZA RASMI ZOEZI LA KUHESABU MALI

Bohari ya Dawa (MSD) imeanza rasmi zoezi la kuhesabu mali kwa mujibu wa sheria. Zoezi hili la kuhesabu mali linategemewa kukamilika mwishoni mwa mwezi Juni 2023 ili kuanza mwaka mpya wa fedha.

Katika kipindi hiki maghala yote ya MSD Makao Makuu pamoja na Kanda zote yatakuwa yamefungwa kupisha zoezi hili.

Previous articleACT WAZALENDO WAIVURUGA CHADEMA,  MUHAMBWE 
Next articleTMDA YATANGAZA KUPOKEA KAZI ZA WAANDISHI WA HABARI KUWANIA TUZO MSIMU WA PILI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here