Home LOCAL DAWASA KUANZA USAJILI WATOA HUDUMA MAGARI YA MAJISAFI

DAWASA KUANZA USAJILI WATOA HUDUMA MAGARI YA MAJISAFI

Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wamekutana na wasimamizi wa vizimba vya majisafi kwa ajili ya kupeana mwongozo wa zoezi la usajili wa magari ya utoaji huduma ya majisafi katika jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani linalotarajia kufanyika kuanzia tarehe 19 hadi 30 Juni 2023.

Lengo la usajili huo ni kuratibu huduma ya majisafi kupitia magari na kuhakikisha huduma inayotolewa kwa wananchi ambao hawajafikiwa na miundombinu ya DAWASA inakidhi vigezo vilivyoweka na Mamlaka.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here