Home LOCAL DAWASA KUANZA USAJILI WATOA HUDUMA MAGARI YA MAJISAFI

DAWASA KUANZA USAJILI WATOA HUDUMA MAGARI YA MAJISAFI

Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wamekutana na wasimamizi wa vizimba vya majisafi kwa ajili ya kupeana mwongozo wa zoezi la usajili wa magari ya utoaji huduma ya majisafi katika jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani linalotarajia kufanyika kuanzia tarehe 19 hadi 30 Juni 2023.

Lengo la usajili huo ni kuratibu huduma ya majisafi kupitia magari na kuhakikisha huduma inayotolewa kwa wananchi ambao hawajafikiwa na miundombinu ya DAWASA inakidhi vigezo vilivyoweka na Mamlaka.

Previous articleRAIS SAMIA ATEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA MELI MPYA YA MV MWANZA JIJINI MWANZA
Next articleSERIKALI YA TANZANIA NA MISRI KUIMARISHA ISHIRIKIANO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here