Home LOCAL RAIS SAMIA ATEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA MELI MPYA YA MV MWANZA...

RAIS SAMIA ATEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA MELI MPYA YA MV MWANZA JIJINI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Akisikiliza maelezo ya mradi wa ujenzi wa Hoteli ya NSSF kutoka kwa Meneja Usimamizi wa Miradi Eng. Helmes Pantaleo mara baada ya kuwasili katika eneo la mradi huo Mkoani Mwanza tarehe 14 Juni, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteremka kutoka ndani ya Meli Mpya ya Abiria na Mizigo  ya MV Mwanza inayoendelea kujengwa katika bandari ya  Mwanza South Mkoani Mwanza mara baada ya kagua maendeleo ya Ujenzi wa Meli hiyo tarehe 14 Juni, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mwanza mara baada ya kukagua Meli Mpya ya Abiria na Mizigo  ya MV Mwanza inayoendelea kujengwa katika bandari ya Mwanza South Mkoani Mwanza tarehe 14 Juni, 2023.

 

Jengo la Hoteli itakayokuwa na hadhi ya Nyota tano ambayo inaendelea kujengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF Mkoani Mwanza

Meli Mpya ya Abiria na Mizigo  ya MV Mwanza inayoendelea kujengwa katika bandari ya Mwanza South Mkoani Mwanza

Previous articleWAZIRI JAFO APONGEZA WADAU WA MAZINGIRA
Next articleDAWASA KUANZA USAJILI WATOA HUDUMA MAGARI YA MAJISAFI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here