Home INTERNATIONAL MAKAMU WA RAIS DKT MPANGO AMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA MWAKA WA...

MAKAMU WA RAIS DKT MPANGO AMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA MWAKA WA BENKI YA AFDB NCHINI MISRI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiweka Saini katika kitabu maalum maarufu kama Golden Book mara baada ya kuwasili Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Sharm El Sheikh nchini Misri kuhudhuria Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) leo tarehe Mei 2023. (wa pili kutoka kushoto ni Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt. Akinwumi Adesina).


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa na viongozi wakuu mbalimbali mara baada ya kuwasili Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Sharm El Sheikh nchini Misri kuhudhuria Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) leo tarehe Mei 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akishiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Sharm El Sheikh nchini Misri leo tarehe 23 Mei 2023.
Previous articleKAMATI YA WAZIRI MKUU YAANZA KUKUSANYA MAONI YA WAFANYABIASHARA DAR ES SALAAM
Next articleTANZANIA KUWALETA PAMOJA WADAU WA SEKTA YA MADINI DUNIANI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here