Home LOCAL WAZIRI MHE. GEORGE SIMBACHAWENE AWAPONGEZA  WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE...

WAZIRI MHE. GEORGE SIMBACHAWENE AWAPONGEZA  WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE SHERIA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene leo asubuhi akipokea Jedwali la Uchambuzi wa Sheria Ndogo kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu Sheria Ndogo Mhe. Kilumbe Shabani Ng’enda Bungeni Mjini Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu Sheria Ndogo Mhe. Kilumbe Shabani Ng’enda (kushoto) akizungumza kabla ya kukabidhi Jedwali la Uchambuzi la Sheria Ndogo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amewapongeza wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Sheria Ndogo kwa kazi kubwa ya kuchambua sheria Ndogo zilizowasilishwa katika mkutano wa tisa wa Bunge.

Waziri ameyasema hayo leo tarehe 20/01/2023 katika ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo inaisaidia Serikali ili iwezee kufanya mambo kwa kuzingatia haki na sheria.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene (kushoto) akizungumza baada ya kupokea Jedwali la Uchambuzi la Sheria Ndogo.

Previous articleRAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA IBADA YA SALA YA IJUMAA MASJID NOUR MUHAMMAD KWAMCHINI UNGUJA LEO
Next articleBARAZA LA TAIFA LA MICHEZO ZANZIBAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here