Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA IBADA YA...

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA IBADA YA SALA YA IJUMAA MASJID NOUR MUHAMMAD KWAMCHINI UNGUJA LEO

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Mussa Wadi (kushoto kwa Rais)  na Viongozi wa Dini alipowasili katika viwanja vya Masjid Nour Muhammad Kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 20-1-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nour Muhammad Kwamchana Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-1-2023.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini katika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nour Muhammad Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-1-2023 na Sheikh Othman Maalim na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.(Picha na Ikulu)

Previous articleWAZIRI NAPE AKIKAGUA UJENZI WA JENGO LA OFISI YA WIZARA MTUMBA
Next articleWAZIRI MHE. GEORGE SIMBACHAWENE AWAPONGEZA  WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE SHERIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here