Home SPORTS SIMBA SC YAPOKEA KICHAPO CHA 1-0 NA MLANDEGE FC

SIMBA SC YAPOKEA KICHAPO CHA 1-0 NA MLANDEGE FC

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Wekundu wa Msimbazi Simba SC imepokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa timu ya Mlandege FC katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi CUP yanayoendelea Visiwani Zanzibar.

Timu ya Mlandege ilipata bao hilo pekee katika dakika ya 75 ya mchezo huo likifungwa na Abubakar Mwadini akipiga kichwa kuunganisha mpira wa kona ambapo goli hilo lilidumu katika dakika zote 90 za mchezo huo.

Timu ya Simba sasa imesalia na michezo miwili katika michuano hiyo Ili kuweza kutetea ubingwa wake.