Home SPORTS SIMBA SC YAPOKEA KICHAPO CHA 1-0 NA MLANDEGE FC

SIMBA SC YAPOKEA KICHAPO CHA 1-0 NA MLANDEGE FC

Wekundu wa Msimbazi Simba SC imepokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa timu ya Mlandege FC katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi CUP yanayoendelea Visiwani Zanzibar.

Timu ya Mlandege ilipata bao hilo pekee katika dakika ya 75 ya mchezo huo likifungwa na Abubakar Mwadini akipiga kichwa kuunganisha mpira wa kona ambapo goli hilo lilidumu katika dakika zote 90 za mchezo huo.

Timu ya Simba sasa imesalia na michezo miwili katika michuano hiyo Ili kuweza kutetea ubingwa wake.

Previous articleSIMBA SC YAMTAMBULISHA ROBERTINHO KUWA KOCHA MKUU
Next articleRAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ATANGAZA MABADILIKO MADOGO YA UONGOZI SERIKALINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM 
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here