Home LOCAL RAIS SAMIA ZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA ENEO HURU LA BIASHARA LA AFRIKA...

RAIS SAMIA ZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA ENEO HURU LA BIASHARA LA AFRIKA (AfCFTA), DAVOS, USWIS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wawekezaji, Wadau wa Maendeleo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika katika mkutano wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AFCFTA) unaoendelea Jijini Davos nchini Uswzi tarehe 18 Januari 2023, kwenye mkutano huo Mhe. Rais Samia amesisitiza kuimarisha Ushirikiano pamoja na kuzitafutia ufumbuzi Changamoto za Uwekezaji ili Nchi za Afrika zizidi kuzalisha tija.

Previous articleMAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA WILAYANI KAHAMA
Next articleRAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA GAVANA WA BOT NA UONGOZI WAKE IKULU ZANZIBAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here