Home LOCAL RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA GAVANA WA BOT NA UONGOZI WAKE IKULU...

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA GAVANA WA BOT NA UONGOZI WAKE IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bwa. Emmanuel Tutuba na Gavana Mstaafu wa BOT Prof. Florens Luoga na Uongozi wa BOT, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-1-2023, alipofika na Uongozi wake kwa mazungumzo na kujitambulisha.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Bwa.Emmanuel Tutuba, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Uongozi wa BOT kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 18-1-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu na (kulia) Gavana Mstaafu wa BOT Prof. Florens Luoga.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Benki Kuu ya Tanzania ukiongozwa na Gavana wa BOT Bwa.Emmanuel Tutuba, (kulia kwa Rais) na (lushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum.(Picha na Ikulu).

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Emmanuel Tutuba (kulia kwa Rais) akiwa na Gavana Mstaafu wa (BOT)  Prof Florens Luoga , alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 18-1-2023.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw.Emmanuel Tutuba na Gavana Mstaafu wa (BOT) Prof. Florens Luoga, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-1-2023.(Picha na Ikulu) 

Previous articleRAIS SAMIA ZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA ENEO HURU LA BIASHARA LA AFRIKA (AfCFTA), DAVOS, USWIS
Next articleMAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA SGR KIPANDE CHA TABORA-ISAKA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here