Home LOCAL RAIS SAMIA ZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA ENEO HURU LA BIASHARA LA AFRIKA...

RAIS SAMIA ZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA ENEO HURU LA BIASHARA LA AFRIKA (AfCFTA), DAVOS, USWIS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wawekezaji, Wadau wa Maendeleo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika katika mkutano wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AFCFTA) unaoendelea Jijini Davos nchini Uswzi tarehe 18 Januari 2023, kwenye mkutano huo Mhe. Rais Samia amesisitiza kuimarisha Ushirikiano pamoja na kuzitafutia ufumbuzi Changamoto za Uwekezaji ili Nchi za Afrika zizidi kuzalisha tija.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here