Home LOCAL RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA KAMISHNA DIWANI ATHUMANI MSUYA

RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA KAMISHNA DIWANI ATHUMANI MSUYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya, aliyemteua tarehe 03 Januari, 2023 kuwa Katibu Mkuu Ikulu.

Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu. Bw. Mahendeka alikuwa Afisa Mwandamizi wa Ofisi ya Rais, Ikulu.

 Zuhura Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu.

Previous articleVIONGOZI WA DINI, WADAU WA SEKTA MBALIMBALI WAJENGEWA UELEWA KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE JIJINI MWANZA 
Next articleMKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MARIAM MWINYI AFUNGUA MICHUANO YA NETIBOLI VIWANJA VYA GYMKHANA UNGUJA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here