Home SPORTS MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MARIAM MWINYI AFUNGUA MICHUANO YA NETIBOLI...

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MARIAM MWINYI AFUNGUA MICHUANO YA NETIBOLI VIWANJA VYA GYMKHANA UNGUJA

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akirusha mpira golini kuashiria kuyafungua Mashindano ya Kombe la Mapinduzi katika uwanja wa Gmkhana Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-1-2023, katika mchezo wa ufunguzi  ulizikutanisha Timu za KVZ na Zimamoto na  Timu ya KVZ imeibuka na ushindi wa bao 42-41.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya KVZ  wakati wa ufunguzi wa Michuano ya Netiboli Kombe Mapinduzi  uliyofanyika  katika uwanja wa Gmkhana Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-1-2023.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya Zimamoto wakati wa ufunguzi wa Michuano ya Netiboli Kombe Mapinduzi  uliyofanyika  katika uwanja wa Gmkhana Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-1-2023.(Picha na Ikulu)
MCHEZAJI wa Timu ya Zimamoto Tatu Ali Mussa akijiandaa kudaka mpira wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja. Timu ya KVZ imeshinda mchezo huo kwa bao 44-41.(Picha na Ikulu)

MCHEZAJI wa Timu ya Zimamoto Pendo Adrian Mpela  akiwa na mpira wakati wa mchezo wao wa Ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi  na Timu ya KVZ,uliofanyika katika uwanja wa Gmykhana, Timu ya KVZ imeshinda mchezo huo kwa bao 44 -41.(Picha na Ikulu)

Previous articleRAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA KAMISHNA DIWANI ATHUMANI MSUYA
Next articleMAMA SAMIA AWASHUSHA NDOO KICHWANI WANAWAKE WA MVOMERO.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here