Home SPORTS DAKIKA 30 ZIMEKAMILIKA SIO AGRNTINA WALA UFARANSA

DAKIKA 30 ZIMEKAMILIKA SIO AGRNTINA WALA UFARANSA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Dakika 120 za Mchezo wa Fainali wa Kombe la Dunia zimemalizika kwa timu zote mbili za Argentina na Ufaransa kutoka sare ya 3-3.

Goli la Argentina lilipachikwa kambani na Lionel Messi huku Kiliani Mbape akipoga hat-truck kwa kupachika bao la 3 dakika ya 108 ya mchezo huo.

Timu zote Mbili zinakwenda hatua ya matuta Ili kupata Bingwa wa michuono hiyo.