Home SPORTS DAKIKA 30 ZIMEKAMILIKA SIO AGRNTINA WALA UFARANSA

DAKIKA 30 ZIMEKAMILIKA SIO AGRNTINA WALA UFARANSA

Dakika 120 za Mchezo wa Fainali wa Kombe la Dunia zimemalizika kwa timu zote mbili za Argentina na Ufaransa kutoka sare ya 3-3.

Goli la Argentina lilipachikwa kambani na Lionel Messi huku Kiliani Mbape akipoga hat-truck kwa kupachika bao la 3 dakika ya 108 ya mchezo huo.

Timu zote Mbili zinakwenda hatua ya matuta Ili kupata Bingwa wa michuono hiyo.

Previous articleDAKIKA 90 SIO ARGENTINA WALA UFARANSA
Next articleARGENTINA BINGWA KOMBE LA DUNIA 2022 QATAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here