Home SPORTS ARGENTINA BINGWA KOMBE LA DUNIA 2022 QATAR

ARGENTINA BINGWA KOMBE LA DUNIA 2022 QATAR

Timu ya Argentina imeibuka Bingwa wa michuano ya Kombe la Dunia 2022 baada ya kuwsfunga Mabingwa watetezi Ufaransa kwa mikwaju ya Penati.

Timu  hizo zilikwenda sare ya mabao 3-3 katika kipindi chote cha Dakika 120 zilizotumika na kuingia katika hatua ya matuta.

Argentina wanaandika historia ya kutwaa ubingwa wa Dunia mwaka huu wa 2022 ikiwa imepita miaka zaidi ya 30 tangu walipotwaa ubingwa huo mwaka 1986 walipoifunga Ujerumani ya Magharibi mwaka 1986 fainali zikichezwa nchini Mexico huku ikiwa ni Mara ya pili kwa fainali hizo kuhusisha timu 24.

Previous articleDAKIKA 30 ZIMEKAMILIKA SIO AGRNTINA WALA UFARANSA
Next articleMENEJIMENTI YA TAWA YATAKIWA KUFANYA KAZI KWA USHIRIKIANO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here