Home LOCAL WAZIRI MKUU AMESHIRIKI MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA LINDI

WAZIRI MKUU AMESHIRIKI MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA LINDI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 20, 2022 ameshiriki mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Lindi, Katika ukumbi wa Chuo cha Ualimu Nachingwe-TTC, Nachingwea.

Katika Mkutano huo kutakuwa na uchaguzi wa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi ,Mjumbe wa Halmashauri ya CCM Taifa (NEC) na wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Lindi.