Home BUSINESS TANGA CEMENT WAIBUKA KIDEDEA WAZALISHAJI BORA TUZO ZA RAIS

TANGA CEMENT WAIBUKA KIDEDEA WAZALISHAJI BORA TUZO ZA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango akikabidhi Tuzo za 16 za Rais za wazalishaji bora wa Viwandani (PMAYA), kwa mshindi wa jumla  ya wazalishaji bora wa mwaka 2021 kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tanga Cement wazalishaji wa Simba Cement (TCPLC), Reinhardt Swart,wakati wa hafla iliyoandaliwa na  na Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) jijini Dar es Salaam Tanga cement iliibuka kidedea kwa kuwa mshndi wa jumla na kuwa mzalishaji Bora wengine pichani ni Maofisa kutoka Tanga Cement

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango akikabidhi Cheti  cha Udhamini wa Tuzo za 16 za Rais za Wazalishaji Bora wa viwandani (PMAYA) kwa Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Tanga Cement, Bi. Mtanga Noor pamoja na Ofisa Mawasiliano wa  Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Helen Maleko ambapo Tanga cement waliibuka kidedea kwa kuwa mshndi wa jumla na kuwa mzalishaji Bora wa Makampuni.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango, akizungumza wakati wa wa hafla ya utoaji Tuzo za Rais kwa wazalishaji bora wa viwandani.

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanga Cement wazalishaji wa Simba Cement (TCPLC), Reinhardt Swart, pamoja na viongozi mbalimbali kutoka Tanga Cement wakiwa katika hafla hiyo.

Picha ya Pamoja

Previous articleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI NOVEMBA 20 -2022
Next articleWAZIRI MKUU AMESHIRIKI MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA LINDI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here