Home BUSINESS UJUMBE WA ARIPO WATEMBELEA MJI WA SERIKALI MTUMBA

UJUMBE WA ARIPO WATEMBELEA MJI WA SERIKALI MTUMBA

Ujumbe kutoka Shirika la Miliki Ubunifu Kanda ya Afrika (ARIPO)ukiongozwa na mwenyeji wake Bw. Godfrey Nyaisa, Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), umetembelea mji wa Serikali unaojengwa eneo la Mtumba jijini Dodoma tarehe 02 Novemba, 2022 na kujionea ujenzi wa majengo ya wizara mbalimbali unavyoendelea ikiwa ni pamoja na jengo la Wizara ya Uwekezaji,7 Viwanda na Biashara ambao ujenzi wake unatarajiwa kukamilika ifikapo Oktoba, 2023.

Previous articleMAGAZETI YA LEO JUMATANO NOVEMBA 3-2022
Next articleTANZANIA INAHITAJI ALAMA YA BIASHARA YA KIPEKEE KUTAMBULISHA BIDHAA ZA KILIMO NJE YA NCHI- BASHE
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here