Home LOCAL RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA 10 WA JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE...

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA 10 WA JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT) LEO JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama pamoja na Serikali wakati akiwasili kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kwa ajili ya kufungua Mkutano wa 10 wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) tarehe 28 Novemba, 2022.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Viongozi mbalimbali wa Chama pamoja na Wanachama wakiimba nyimbo za CCM mara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kwa ajili ya kufungua Mkutano wa 10 wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) tarehe 28 Novemba, 2022.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, wageni mbalimbali pamoja Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kabla ya kufungua Mkutano wa 10 wa Jumuiya hiyo uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 28 Novemba, 2022.
 
Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT) ikitumbuiza kwenye Mkutano wa 10 wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika kwenye katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 28 Novemba, 2022.
Previous articleCEO BRELA APATA TUZO
Next articleRAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU WA ETHIOPIA MHE. HALLEMARIAM DESALEGN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here