Home LOCAL RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA KUFUNGUA MKUTANO WA MABALOZI WA TANZANIA...

RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA KUFUNGUA MKUTANO WA MABALOZI WA TANZANIA UNAOFANYIKA ZANZIBAR TAREHE 19-2022

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Nje kabla ya kufungua Mkutano huo wa Mabalozi uliofanyika Zanzibar tarehe 19 Novemba, 2022

Viongozi pamoja na Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha Tanzania katika nchi za Nje wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Zanzibar tarehe 19 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Nje mara baada ya kufungua Mkutano huo wa Mabalozi uliofanyika Zanzibar tarehe 19 Novemba, 2022.