Home BUSINESS KATIBU TAWALA MKOA WA MWANZA ATEMBELEA BANDA LA BoT KWENYE MAADHIMISHO YA...

KATIBU TAWALA MKOA WA MWANZA ATEMBELEA BANDA LA BoT KWENYE MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Bw. Balandya Elikana, ametembelea banda la BoT katika Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha yanayofanyika katika Viwanja vya Rockcity Mall – Mwanza. Katika maadhimisho haya BoT inatoa elimu ya fedha kwa umma pamoja na majukumu mbalimbali ya BoT.

Ameambatana na Meneja Msaidizi Idara ya Mawasiliano Benki Kuu ya Tanzania, Bi. Noves Moses