Home NEWSPAPERS YANGA, AL HILAL ZATOSHANA NGUVU KWA MKAPA

YANGA, AL HILAL ZATOSHANA NGUVU KWA MKAPA

Na: Stella Kessy.

MABINGWA watetezi Yanga leo wametoka sare 1-1 dhidi ya Al Hilal katika mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika

Katika mchezo uliochezwa katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo Yanga kwa sasa wanakibarua kigumu kutafuta ushindi wakiwa ugenini .

Huku bao la kwanza la Yanga kimefungwa na Fiston Mayele dakika ya 50 na kwa Al Hilal ni dakika ya 67 kwa Mohamed Youseif dakika ya 64.

Katika mchezo huo mabao yote yamefungwa kipindi cha pili ambapo kipindi cha kwanza hakuna timu  iliyofanikiwa kupata bao.

Previous articleSIMBA IPO IMARA KUWAVAA AGOSTO
Next articleKAMPENI YA JIFICHUE YAZINDULIWA KWAAJILI YA KUTOA ELIMU YA AFYA YA AKILI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here