Home LOCAL MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA UNHCR NA UNEP

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA UNHCR NA UNEP

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Nchni (UNHCR) Bi. Mahoua Parum’s pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) Bi. Clara Makenya Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 15 Mei 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Nchni (UNHCR) Bi. Mahoua Parum’s (kushoto) pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) Bi. Clara Makenya (kulia) mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 15 Mei 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Nchni (UNHCR) Bi. Mahoua Parum’s mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 15 Mei 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana Mwakilishi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) Bi. Clara Makenya mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 15 Mei 2024.

Previous articleTANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA KIDIPLOMASIA WA UKAMILISHWAJI SHERIA YA KIMATAIFA YA MILIKI UBUNIFU
Next articleSOMA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 16-2024
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here