Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA GEITA...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA GEITA KWENYE MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA KWENYE UWANJA WA KALANGALALA 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wananchi wa Mkoa wa Geita kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kalangalala mkoani humo tarehe 15 Oktoba, 2022.

Sehemu ya Viongozi pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Geita wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa akihutubia katika uwanja wa Kalangalala mkoani humo tarehe 15 Oktoba, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here