Home ENTERTAINMENTS MTAYARISHAJI NGULI WA MUZIKI KUTOKA NIGERIA MASTERKRAFTS KUJA NA EP

MTAYARISHAJI NGULI WA MUZIKI KUTOKA NIGERIA MASTERKRAFTS KUJA NA EP

Sunday Ginikachukwu Nweke maarufu kwa jina la Masterkraft mtayarishaji wa muziki kutoka nchini Nigeria ambaye amefanikiwa kufanya kazi na wasanii mbalimbali kutoka nchini Nigeria akiwemo Mr Flavour, Davido ,Tekno, Phyno na wengine wengi yuko mbioni kuachia kazi yake mpya rasmi
Mbali na kuwa mtayarishaji wa Muziki Masterkraft ni mwandishi wa nyimbo ,muongozaji wa bendi pamoja na mwimbaji.

Masterkraft 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here