Rais wa Taasisi ya AL-WADOOD CHARITABLY SHEIKH ALLY BIN MASOUD AL-MUKHERY akizindua visima vya maji Katika Shina namba moja Madale Kwa Kawawa jijini Dar es Salaam ambapo taasisi hiyo ulimetoa msaada huo kuunga mkono kaulimbiu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan “Kumtua mama ndoo kuchwani” uzinduzi huo uliofanyika Jumamosi Oktoba 1,2022 na uliahudhuriwa na Makamu wa rais wa Taasisi hiyo SHEIKH ABDULQADER ALJAHDHAMY , Mwenyekiti wa CCM tawi Bw.Steven Kazimoto na Katibu wake Khadija Mbaga.
Rais wa Taasisi ya AL-WADOOD CHARITABLY SHEIKH ALLY BIN MASOUD AL-MUKHERY na Makamu wa rais wa Taasisi hiyo SHEIKH ABDULQADER ALJAHDHAMY wakinyanyua ndoo ya maji baada ya kuzindua visima vya maji Katika Shima namba moja Madale Kwa Kawawa jijini Dar es Salaam
Rais wa Taasisi ya AL-WADOOD CHARITABLY SHEIKH ALLY BIN MASOUD AL-MUKHERY akimsikiliza Makamu wa rais wa Taasisi hiyo SHEIKH ABDULQADER ALJAHDHAMY wakati akizungumza mara baada ya uzinduzi wa visima vya maji Katika Shina namba moja Madale Kwa Kawawa jijini Dar es Salaam katikati ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Madale Bw. Steven Kazimoto na Katibu wa CCM Madale Bi.Khadija Mbaga.
Rais wa Taasisi ya AL-WADOOD CHARITABLY SHEIKH ALLY BIN MASOUD AL-MUKHERY akizungumza mara baada ya uzinduzi wa visima vya maji Katika Shima namba moja Madale Kwa Kawawa jijini Dar es Salaam wa pili Kutoka kulia ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Madale Bw. Steven Kazimoto na Katibu wa CCM Madale Bi.Khadija Mbaga.
Rais wa Taasisi ya AL-WADOOD CHARITABLY SHEIKH ALLY BIN MASOUD AL-MUKHERY akimsikiliza Makamu wa rais wa Taasisi hiyo SHEIKH ABDULQADER ALJAHDHAMY wakiwa Katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa visima vya maji Katika Shima namba moja Madale Kwa Kawawa jijini Dar es Salaam wengine ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Madale Bw. Steven Kazimoto na Katibu wa CCM Madale Bi.Khadija Mbaga.