Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZINDUA RIPOTI YA MAHITAJI YA MAHKAMA...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZINDUA RIPOTI YA MAHITAJI YA MAHKAMA ZANZIBAR NA UZINDUZI WA OFISI ZA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Ripoti ya Mahitaji ya Mfumo wa Mahakama Zanzibar na Uzinduzi wa Ofisi ya Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Zanzibar, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria Uzinduzi wa Ofisi ya Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Zanzibar, uzinduzi huo uliyofanyika leo 17-9-2022 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Kitabu cha Ripoti ya Mahitaji ya Mfumo wa Mahakama Zanzibar, baada ya kuizindua rasmin leo 17-9-2022, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Khamis Ramadhan Shaban na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Dk.Haroun Ali Suleiman na (kulia kwa Rais) Mratibu wa Kitaifa Wakili Onesmo Olengurumwa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Kitabu cha Ripoti ya Mahitaji ya Mfumo wa Mahakama Zanzibar, hafla hiyo ya uzinduzi  iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, leo 17-9-2022, na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Khamis Ramadhan Shaban na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na (kulia kwa Rais) Mratibu wa Kitaifa Wakili Onesmo Olengurumwa.

 WASHIRIKI wa Uzinduzi wa Ripoti ya Mahitaji ya Mfumo wa Mahakama Zanzibar na Uzinduzi wa Ofisi Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 17-9-2022.(Picha na Ikulu)

Previous articleRAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.DK.HUSSEIN MWINYI AHUDHURIA MAZIKO YA ASKOFU MSTAFU WA KANISA LA ANGLIKANA MKUNAZINI ZANZIBAR
Next articleMAMIA WAMZIKA MAREHEMU ASANTINA SEBASTIAN JIJINI DAR ES SALAAM
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here