Home LOCAL MAMIA WAMZIKA MAREHEMU ASANTINA SEBASTIAN JIJINI DAR ES SALAAM

MAMIA WAMZIKA MAREHEMU ASANTINA SEBASTIAN JIJINI DAR ES SALAAM

Mwili wa Marehemu Asantina Sebastian ambaye lifariki juzi kwenye hospitali ya Aghakan jijini Dar es salaam alikokuwa akipokea matibabu akiingizwa kaburini wakati wa mazishi yake yaliyofanyika nyumbani kwake Madale Mivumoni wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Leo Septemba 17, 2022.

Waombolezaji mbalimbali Ndugu, Jamaa na marafiki wameshiriki Katika mazishi ya mwili wa marehemu Asantina Sebastian Katika nyumba yake ya milele, “Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe Amen”

Familia ya Marehemu Asantina Sebastian  ikiwa na huzuni kubwa Katika mazishi ya mpendwa wao aliyepumzishwa Leo.

Mwili wa Marehemu Asantina Sebastian akiingizwa kwenye kaburi na waombolezaji.

Waombolezaji mbalimbali wakiwa Katika mazishi hayo.

Wadau mbalimbali wa Madale wakishiriki Katika mazishi hayo katikati ni John Badi mmoja wa wanakundi la kijamii la Wadau Madale.

Ibada ya mazishi ikiendelea nyumbani. 

Stephen Kazimoto Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Madale kwa Kawawa ambaye ni mmoja wa viongozi wa kundi la kijamii la Wadau Madale akitoa salam zake za rambirambi Katika msiba huo.

 

Previous articleRAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZINDUA RIPOTI YA MAHITAJI YA MAHKAMA ZANZIBAR NA UZINDUZI WA OFISI ZA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU ZANZIBAR
Next articleVIONGOZI WA MTWARA WABARIKI UBABE UBABE YA KIDUKU MTWARA WA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here