Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.DK.HUSSEIN MWINYI AHUDHURIA MAZIKO YA ASKOFU MSTAFU WA KANISA...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.DK.HUSSEIN MWINYI AHUDHURIA MAZIKO YA ASKOFU MSTAFU WA KANISA LA ANGLIKANA MKUNAZINI ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar kuhudhuria maziko ya Marehemu Askofu Mstafu wa Kanisa la  Anglikana  Zanzibar John Ramadhan, yaliyofanyika leo 17-9-2022, katika viwanja vya kanisa hilo Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihudhuria maziko ya Marehemu Askofu Mstafu wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar John Ramadhan, yaliofanyika katika Kanisa la Mkunazini leo 17-9-2022 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu Mhe. Georg Mkuchika na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Shaban.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Askofu Mstafu wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar leo 17-9-2022. Maziko yaliyofanyika katika viwanja vya Kanisa la Anglikana Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Askofu Mstafu wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar John Ramadhan, maziko hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Kanisa la Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Viongozi wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar, baada ya kumalizika kwa maziko ya Askofu Mstafu Marehemu John Ramadhan yaliofanyika leo 17-9- 2022 katika viwanja vya Kanisa la Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Previous articleMGOMBEA UBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI ASHIRIKI BONANZA LA BUNGE DODOMA
Next articleRAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZINDUA RIPOTI YA MAHITAJI YA MAHKAMA ZANZIBAR NA UZINDUZI WA OFISI ZA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU ZANZIBAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here