Home LOCAL MWENEKITI TEF ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA MALIKIA ELIZABETH II

MWENEKITI TEF ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA MALIKIA ELIZABETH II

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akitia saini kwenye kitabu cha maombolezo ya kifo cha Malkia Elizabeth II katika Ofisi za Ubalozi wa Uingereza, jijini Dar es Salaam leo.
Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar 9mwenye shati jeupe) baada ya kutia Saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Malkia Elizabeth II katika Ofisi za Ubalozi wa Uingereza, jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here