Home LOCAL MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI BUTIMBA MWANZA

MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI BUTIMBA MWANZA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha Maji na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 14 Septemba 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha Maji  na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 14 Septemba 2022. Kulia ni Waziri wa Maji Jumaa Aweso , Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima na Waziri wa Ardhi Dkt. Angelina Mabula.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikagua maendeleo ya Ujenzi wa Chanzo cha Maji na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wakati alipofika kuweka Jiwe la Msingi leo tarehe 14 Septemba 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia viongozi ,wafanyazi wa mradi pamoja na wananchi mbalimbali mara baada ya  kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha Maji  na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 14 Septemba 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi pamoja  wafanyazi wa Mamlaka ya Maji Jijini Mwanza  mara baada ya kuhitimisha hafla ya   uwekaji Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha Maji  na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 14 Septemba 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akitoa maelekezo kwa Wizara ya Maji kuhusu ukamilishaji wa Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wakati alipofika kuweka jiwe la msingi katika mradi huo leo tarehe 14 Septemba 2022.

Previous articleBRELA YAWAITA WADAU KUTOA MAONI MAREKEBISHO YA SHERIA YA LESENI ZA BIASHARA, SURA 208
Next article‘NUNGUNUNGU MASTER’ AINUA SHANGWE MSIMBAZI AKIFUNGA BAO PEKEE LA USHINDI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here