Home SPORTS KAGERA, DODOMA JIJI ZATOSHANA NGUVU

KAGERA, DODOMA JIJI ZATOSHANA NGUVU

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya bila mabao na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Kila timu inafikisha pointi mbili baada ya awali wote kupoteza mechi mbili mbili na sare moja nyingine moja moja.