Home SPORTS KAGERA, DODOMA JIJI ZATOSHANA NGUVU

KAGERA, DODOMA JIJI ZATOSHANA NGUVU

WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya bila mabao na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Kila timu inafikisha pointi mbili baada ya awali wote kupoteza mechi mbili mbili na sare moja nyingine moja moja.

Previous articleSIMBA YASONGA MBELE LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Next articleNAIBU WAZIRI MASANJA: WAVAMIZI WA HIFADHI YA MSITU WA BONDO WATAKIWA KUONDOKA IFIKAPO DESEMBA 30
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here