Home SPORTS YANGA YAMALIZA LIGI BILA KUFUNGWA

YANGA YAMALIZA LIGI BILA KUFUNGWA


MWANDISHI WETU

MABINGWA, Yanga SC wamemaliza Ligi Kuu ya Tanzania Bara vizuri kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Bao pekee la Yanga limefungwa na winga Dennis Nkane na kwa matokeo hayo wanamaliza na pointi 74, wakiwazidi pointi 13 mabingwa wa misimu minne iliyopita, Simba SC.

Previous articleMPOLE MFUNGAJI BORA LIGI KUU
Next articleWAWEKEZAJI KATIKA ENEO LA UZALISHAJI WA MBOLEA NCHINI WAJITOKEZA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here