Home LOCAL WAJIMAMA WAANZA NA MAMA NA MTOTO KIZIMKAZI

WAJIMAMA WAANZA NA MAMA NA MTOTO KIZIMKAZI

Mwanzilishi  Taasisi ya WAJAMAMA Nafisa Jiddawi akizungumza na wananchi wa Kizimkazi Mkunguni wakati wa makabidhiano ya Jengo la mama na mtoto lililokarabitiwa na Taasisi hiyo kwa zaidi ya shilingi milioni 35 za Kitanzania huko Kituo cha Afya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja
Naibu Mkurugenzi Idara ya kinga na  Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Salim Slim akifungua jengo la mama na mtoto katika Kituo cha Afya Kizimkazi Mkunguni mara alipokabidhiwa na Taasisi ya WAJAMAMA kufuatia kukamilika kwa ukarabati wa jengo hilo ulioagharimu zaidi ya shilingi milioni 35 za Kitanzania,hafla iliyofanyika Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja. 
Mwanzilishi Taasisi ya WAJAMAMA Nafisa Jiddawi akimpatia maelezo Naibu Mkurugenzi Idara ya kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Salim Slim kuhusu jengo la mama na mtoto wakati wa makabidhiano ya jengo hilo katika kituo cha Afya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here