Home LOCAL WAJIMAMA WAANZA NA MAMA NA MTOTO KIZIMKAZI

WAJIMAMA WAANZA NA MAMA NA MTOTO KIZIMKAZI

Mwanzilishi  Taasisi ya WAJAMAMA Nafisa Jiddawi akizungumza na wananchi wa Kizimkazi Mkunguni wakati wa makabidhiano ya Jengo la mama na mtoto lililokarabitiwa na Taasisi hiyo kwa zaidi ya shilingi milioni 35 za Kitanzania huko Kituo cha Afya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja
Naibu Mkurugenzi Idara ya kinga na  Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Salim Slim akifungua jengo la mama na mtoto katika Kituo cha Afya Kizimkazi Mkunguni mara alipokabidhiwa na Taasisi ya WAJAMAMA kufuatia kukamilika kwa ukarabati wa jengo hilo ulioagharimu zaidi ya shilingi milioni 35 za Kitanzania,hafla iliyofanyika Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja. 
Mwanzilishi Taasisi ya WAJAMAMA Nafisa Jiddawi akimpatia maelezo Naibu Mkurugenzi Idara ya kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Salim Slim kuhusu jengo la mama na mtoto wakati wa makabidhiano ya jengo hilo katika kituo cha Afya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja

Previous articleMAJALIWA AKAGUA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA HUDUMA ZA JAMII MSOMERA
Next articleSERIKALI KUBORESHA MAENEO YA MAKUMBUSHO YA WAPIGANIA UHURU NCHINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here