Home LOCAL MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA HUDUMA ZA JAMII MSOMERA

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA HUDUMA ZA JAMII MSOMERA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama madawati wakati alipokagua Shule Mpya ya Msingi ya Msomera iliyojengwa na Serikali wakati alipokagua ujenzi na uboreshaji wa miundombinu  ya huduma za jamii katika kijiji cha Msomera wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, Juni 23, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

 
Muonekano wa baadhi ya nyumba zilizojengwa na Serikali katika kijiji cha Msomera wilayani Handeni Mkoa wa Tanga kwa ajili ya makazi ya wananchi wanaohamia katika kijiji hicho kutoka Ngorongoro.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wa huduma mbalimbali za jamii katika eneo hilo, Juni 23, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi  baada ya kukagua ujenzi wa Shule Mpya ya Msingi ya Msomera iliyojengwa na Serikali wakati alipokagua ujenzi na uboreshaji wa miundombinu  ya huduma za jamii katika kijiji cha Msomera wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, Juni 23, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Previous articleMAKAMU WA RAIS AHUTUBIA MKUTANO WA MALARIA RWANDA
Next articleWAJIMAMA WAANZA NA MAMA NA MTOTO KIZIMKAZI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here