Home SPORTS SIMBA WAMTEMA WAWA

SIMBA WAMTEMA WAWA


Na: mwandishi wetu

KLABU ya Simba leo imeweka wazi kuachana na  beki wa kati pascal Wawa mabosi hao kwa kuweka wazi kuwa hataongezewa mkataba mwingine.

Taarifa iliyotolewa na Simba leo Juni 21,2022 imeeleza namna hii:”Baada ya kutumikia timu yetu kwa misimu minne, Pascal Wawa hatakuwa sehemu ya kikosi chetu cha msimu ujao.

“Mkataba wake utamalizika mwisho wa mwezi huu na mchezo wa Alhamisi dhidi ya Mtibwa Sugar utakuwa mchezo wake wa mwisho,”

Previous articleKUTOKA MAGAZETINI ASUBUHI YA LEO JUMANNE JUNI 21-2022
Next articleMTOTO AUWAWA GEITA MWILIWAKE WAKUTWA UMETUPWA PEMBENI YA MTO.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here