Home SPORTS SIMBA WAMTEMA WAWA

SIMBA WAMTEMA WAWA


Na: mwandishi wetu

KLABU ya Simba leo imeweka wazi kuachana na  beki wa kati pascal Wawa mabosi hao kwa kuweka wazi kuwa hataongezewa mkataba mwingine.

Taarifa iliyotolewa na Simba leo Juni 21,2022 imeeleza namna hii:”Baada ya kutumikia timu yetu kwa misimu minne, Pascal Wawa hatakuwa sehemu ya kikosi chetu cha msimu ujao.

“Mkataba wake utamalizika mwisho wa mwezi huu na mchezo wa Alhamisi dhidi ya Mtibwa Sugar utakuwa mchezo wake wa mwisho,”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here