Home LOCAL RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WANAWAKE AMBAO NI WAKUU WA TAASISI MBALIMBALI...

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WANAWAKE AMBAO NI WAKUU WA TAASISI MBALIMBALI NCHNI OMAN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi Wanawake ambao ni Wakuu wa Taasisi mbalimbali nchini Oman kwenye mkutano uliofanyika katika Kasri ya Al Alam, Muscat nchini humo tarehe 14 June, 2022.

 Viongozi Wanawake ambao ni Wakuu wa Taasisi mbalimbali nchini Oman wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao kwenye mkutano uliofanyika katika Kasri ya Al Alam Muscat nchini humo tarehe 14 June, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mufti Mkuu wa Taifa la Oman Sheikh Ahmed bin Hamad Al-Khalili yaliyofanyika Kasri ya Al Alam, Muscat nchini humo tarehe 14 June, 2022.
Previous articleSERIKALI YATAKA USHIRIKIANO WA WADAU KATIKA KUPINGA UKATILI WA UTUMIKISHWAJI WA KAZI KWA WATOTO
Next articleDK. SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here