
Viongozi Wanawake ambao ni Wakuu wa Taasisi mbalimbali nchini Oman wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao kwenye mkutano uliofanyika katika Kasri ya Al Alam Muscat nchini humo tarehe 14 June, 2022.
