Home LOCAL PROF. MAKUBI AKUTANA NA NA KUZUNGUMZA NA MADAKTARI BINGWA MISRI

PROF. MAKUBI AKUTANA NA NA KUZUNGUMZA NA MADAKTARI BINGWA MISRI

Cairo , Misri.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya  Prof. Abel Makubi amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi wa Madaktari Mabingwa  kutoka Tanzania ambao wanasoma katika Chuo Kikuu cha Alexandria, Misri leo tarehe 6 Juni, 2022

Mkutano huo ulihudhuriwa pia na Balozi wa Tanzania Misri , Dr Emmanuel Nchimbi na Mfamasia Mkuu wa Serikali Ndg . Daudi Msasi. 

Katika kikao hicho Prof. Makubi ameahidi kufanyia kazi changamoto za Madaktari hao ambao wapo mafunzoni ikiwa ni pamoja na kuongeza udhamini  na kupata mafunzo zaidi ya vitendo wakiwa nyumbani Tanzania.

Previous articleMARAGASHIMBA AONGOZA VIJANA 800 WA UVCCM KUTALII NGORONGORO
Next articlePICHICHITURBANS KUHAMASISHA UTALII STARA FASHION WEEK
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here