Home BUSINESS BRELA YASIKILIZA, YATATUA CHANGAMOTO ZA WADAU MBEYA

BRELA YASIKILIZA, YATATUA CHANGAMOTO ZA WADAU MBEYA


Maafisa kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), wakisikiliza na kutatua changamoto mbalimbali za wadau waliofika katika ukumbi wa mikutano wa Mkapa, uliopo Soko Matola Jijini Mbeya, leo tarehe 9 Juni, 2022 ikiwa ni siku ya pili ya warsha ya uhamasishaji wadau kuhusu kanuni za Wamiliki Manufaa. Warsha hiyo imewashirikisha wamiliki wa kampuni, mawakili, washauri wa masuala ya biashara na wadau wengine.
Previous articleKUTOKA MAGAZETINI ASUBUHI YA LEO IJUMAA JUNI 10-2022
Next articleDKT. KIRUSWA AAGIZA TATHMINI MGODI WA NYANZAGA IHARAKISHWE
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here