Home LOCAL WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA BUNGENI LEO DODOMA

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA BUNGENI LEO DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene akizungumza na Naibu Waziri  Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi, bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here