Home LOCAL MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA ABU DHABI FALME ZA KIARABU

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA ABU DHABI FALME ZA KIARABU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Askofu wa Jimbo la Abu Dhabi Mhashamu Askofu Paul Hinder ambaye ni mwakilishi wa Baba Mtakatifu katika nchi za Arabia ya Kusini mara baada ya kushiriki ibada katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu leo tarehe 16 Mei 2022.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu kushiriki Ibada katika Kanisa hilo leo tarehe 16 Mei 2022.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akishiriki Ibada katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu leo tarehe 16 Mei 2022.


Askofu wa Jimbo la Abu Dhabi Mhashamu Askofu Paul Hinder ambaye ni mwakilishi wa Baba Mtakatifu katika nchi za Arabia ya Kusini akimkabidhi zawadi ya kitabu cha Sala Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango mara baada ya mazungumzo yaliofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu leo tarehe 16 Mei 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango  akizungumza na Askofu wa Jimbo la Abu Dhabi Mhashamu Askofu Paul Hinder ambaye ni mwakilishi wa Baba Mtakatifu katika nchi za Arabia ya Kusini mara baada ya kushiriki ibada katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu leo tarehe 16 Mei 2022.
Previous articleWAZIRI MULAMULA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO U.A.E
Next articleWAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA BUNGENI LEO DODOMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here