Home LOCAL RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIKOSI KAZI CHA KURATIBU MAONI...

RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIKOSI KAZI CHA KURATIBU MAONI YA WADAU WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Profesa Rwekaza Mukandala aliyeambatana na baadhi ya Wajumbe wa Kikosi kazi hicho Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Mei, 2022.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Profesa Rwekaza Mukandala kwenye  picha ya pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Kikosi kazi hicho mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Mei, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here